Skip to main content
Skip to main content

Uhifathi wa msitu wa Embobut Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    447 views
    Duration: 2:54
    Jamii ya Sengwer inayoishi karibu na msitu wa Embobut, kaunti ya Elgeyo-Marakwet, imeonyesha dhamira thabiti ya kulinda na kurejesha msitu huo wa asili kwa kuunganisha maarifa ya jadi na mbinu za kisasa za kisayansi, wakilenga si tu kuhifadhi mazingira, bali pia kulinda vyanzo vya maji na urithi wao wa kitamaduni