Kwenye Boresha Kilimo, tunaangazia teknolojia ya uhimilishaji bandia (Artificial Insemination) inayobadilisha namna wafugaji wanavyozalisha mifugo. Teknolojia hii huwezesha mbegu za kiume kutumika kumpandisha mnyama jike bila dume kuwepo moja kwa moja.
Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyofanya kazi, faida zake kwa wafugaji, namna inavyosaidia kuboresha kizazi cha mifugo na mambo muhimu ambayo mfugaji anapaswa kuzingatia.
KUTV is a Kenya Digital Television that brings you up to date News, entertaining, educative and informative programs.
Facebook: https://www.facebook.com/kutv.kenya
X (Twitter): https://x.com/kutv_kenya
Instagram: https://www.instagram.com/kutvkenya
TikTok: https://www.tiktok.com/@kutv.kenya?_r=1&_t=ZS-99ndbcou62J
YouTube: https://www.youtube.com/@KUTVKenya
KUTV News: https://www.youtube.com/@KUTVNews
Website: https://kutv.co.ke/