Skip to main content
Skip to main content

Uhispania yang'ara zaidi Ballon d'or ila kombe lanyakuliwa na Kane

  • | BBC Swahili
    10,143 views
    Duration: 2:48
    Harry Kane amekuwa muingereza wa kwanza kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia tangu Michael Owen mwaka 2001, huku Alexia Putellas akiendelea kutawala soka la wanawake kwa kutwaa tuzo hiyo kwa mara ya tatu. Hatahivyo Uhispania imeendelea kung’ara kupitia nyota wake chipukizi Lamine Yamal.@ahmedbahajj anakupitisha katika baadhi ya matukio yaliyojitokeza katika hafla ya kihistoria iliyofanyika jijini London. 🎥:@brianmala1 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw