Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara watarajiwa kuchochea ukuaji wa sekta ya utalii maeneo ya Malindi na Watamu

  • | Citizen TV
    224 views
    Duration: 1:40
    Sekta ya Utalii maeneo ya Malindi na Watamu inatarajiwa kuimarika katika siku za usoni baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua awamu ya pili ya ujenzi wa barabara inayounganisha miji hiyo ya kitalii.