Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa soko la Nkaimurunya Kajiado umeanza

  • | Citizen TV
    278 views
    Duration: 1:41
    Waziri wa Biashara katika kaunti ya Kajiado Leah Marias amesema ujenzi wa soko la Nkaimurunya utabadilisha uchumi wa eneo hilo na kuboresha mazingira ya biashara kwa wakazi.