13 Mar 2026 10:16 am | Citizen TV 12,076 views Duration: 1:42 Madereva wanaotumia barabara kuu ya Nairobi kwenda Nakuru wameshauriwa kupanga safari zao kwa makini huku ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara ya kutoka Rironi hadi Mau Summit ukikaribia kukamilika.