Ukame kaunti ya Marsabit

  • | Citizen TV
    95 views

    Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya maeneo yaliyo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na ukame nchini. Kwa miaka mingi, wakaazi wa kaunti hiyo, wametegemea ufugaji kama njia ya kujikimu kimaisha