Skip to main content
Skip to main content

Ukame wa muda mrefu Mandera waendelea kutishia maisha ya jamii za wafugaji

  • | KBC Video
    97 views
    Duration: 3:31
    Ukame wa muda mrefu katika Kaunti ya Mandera unaendelea kutishia maisha ya jamii za wafugaji, huku vifo vya mifugo vikiongezeka kwa kasi na thamani ya wanyama waliobaki ikipungua kila siku. Hali hii inaonyesha athari kubwa ya lishe inayosababishwa na uhaba wa malisho wa muda mrefu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive