Skip to main content
Skip to main content

Ukatili wa baba Kakamega wampelekea kumuua mwanawe

  • | Citizen TV
    1,013 views
    Duration: 3:09
    Mwanamume mmoja kutoka kijiji cha Imabusi eneo bunge la Ikolomani kaunti ya Kakamega amelazwa katika hospitali ya shibwe chini ya ulinzi mkali baada ya kudaiwa kumuua mwanawe na kuwajeruhi wengine vibaya. Mshukiwa huyo nathan shimenga baadaye alishambuliwa na wanakijiji kufuatia mauaji hayo yanayosemekana kutokana na mzozo wa kinyumbani na mkewe.