Skip to main content
Skip to main content

Ukosefu wa mtandao wa simu wakera Samburu

  • | Citizen TV
    260 views
    Duration: 3:13
    Ukosefu wa mtandao wa simu umewaathiri wakazi wa kijiji cha Nkutuk Eng'iron Samburu mashariki, ambao wanakosa mbinu ya kuwasiliana na wenzao, mbali na hali hiyo kuathiri usalama katika eneo hilo. Wakazi wanasema majangili hutumia fursa hiyo kuendelea na mashambulizi ya wizi wa mifugo wakifahamu ni vigumu kwa wenyeji kutafuta usaidizi kutoka kwa maafisa wa polisi.