8 Dec 2025 12:11 pm | Citizen TV 469 views Duration: 22:10 Oxfam na KHRC zasema Kenya ni ya matajiri wachache Ripoti zinaonyesha kuwa wakenya wengi ni masikini Oxfam: Wakenya 125 wana utajiri uliozidi wa wakenya 42m KHRC inasema kati ya wakenya 10, wanne ni maskini