Skip to main content
Skip to main content

| UKUMBI | Sheria Ya Kudhibiti Mtandao[Part 1]

  • | Citizen TV
    317 views
    Duration: 27:49
    Tunaangazia sheria ya matumizi mabaya ya mtandao Wakosoaji wanadai inakandamiza haki ya kujieleza Rais Ruto alitia saini miswada minane kuwa sheria Marekebisho ya sheria ya tume ya ardhi wa mwaka 2023 Mswada wa marekebisho ya sheria ya ardhi wa mwaka 2024 mswada wa uhifadhi na Usimamizi wa wanyama pori wa 2023 Marekebisho ya sheria ya tume ya huduma za polisi wa 2024 mswada wa marekebisho ya sheria ya ada za usafiri wa anga Mswada wa watoaji huduma za mali mtandaoni wa 2025 Na mswada wa ubinafsishaji mashirika wa mwaka 2025 Ruto: Sheria mpya zitashughulikia dhuluma za kihistoria Ruto: Sheria mpya zitaleta usawa, uwazi na mageuzi bora