Katika ulimwengu wa urembo wa kisasa, wengi hukimbilia bidhaa zenye kemikali kali ili kung’arisha ngozi. Lakini katika Pwani ya Kenya, hasa visiwani Lamu, kuna siri ya asili iliyodumu kwa vizazi inayojulikana kama singo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya