- 17,255 viewsDuration: 2:55Umati mkubwa uliwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kupokea mwili wa mwendazake Raila Odinga. Umati huo baadaye ukifuata msafara wa marehemu Raila Odinga hadi katika uwanja wa Kasarani, ambapo mwili wake ulitazamwa na umma