Skip to main content
Skip to main content

Upandikizaji wa uume unavyosaidia wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume Tanzania

  • | BBC Swahili
    2,753 views
    Duration: 9:02
    "Yani sasa hivi niko vizuri, inawezekana ni zaidi ya hata vile nilivyokuwa awali." Hayo ni maneno ya Titi, mmoja wa wanaume wa kwanza Tanzania kufanyiwa upasuaji wa kupandikiza uume katika hospitali ya umma. Miaka mitatu iliyopita, Titi na Didi( sio majina yao halisi) walifika Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma kwa matumaini ya kupata suluhisho la tatizo la nguvu za kiume ambalo lilikuwa limeanza kuathiri maisha yao. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw