Skip to main content
Skip to main content

Upanzi wa miti wazinduliwa katika shule mbalimbali Kajiado

  • | Citizen TV
    173 views
    Duration: 3:32
    Shirika la Center For Environmental stewardship kwa ushirikiano la shirika la Umoja wa mataifa Kuhusu Mazingira UNEP limeanzisha mafunzo kuhusu upanzi wa miti na utunzaji wa mazingira ambao unalenga shule mbalimbali katika kaunti ya Kajiado. Mafunzo hayo yamezinduliwa katika shule ya Moi Girls Isinya ..