Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wa maiti 33 haukufanyika Kericho kwa ukosefu wa vifaa

  • | Citizen TV
    1,202 views
    Duration: 2:49
    Shughuli ya upasuaji wa maiti 33 iliyofukuliwa kwenye kaburi la Halaiki huko Kericho haikufanyika kwa sababu hakuna vifaa katika makafani ya Hospitali ya Kericho. Mpasuaji wa maiti wa serikali, Dkt. Richard Njoroge, amesema mochario hiyo haina vifaa vya kufanya uchunguzi wa maiti wala utambuzi wa msimbojeni.