Skip to main content
Skip to main content

Upasuaji wa miili iliyofukuliwa Kericho wabaini watoto wanne walifariki kwa majeraha ya kichwa

  • | Citizen TV
    1,595 views
    Duration: 1:33
    Uchunguzi wa maiti ya miili iliyopatikana katika kaburi ya Halaiki kaunti ya Kericho umebaini kuwa watoto wanne walifariki kutokana na majeraha ya kichwa. Daktari wa serikali anayechunguza maiti, Dkt. Richard Njoroge, amebaini kuwa miili hiyo ilikuwa katika viwango tofauti vya kuoza, huku mingine ikiwa imeharibika vibaya.