- 13,659 viewsDuration: 20sUpepo mkali uliivuruga ndege katika Uwanja wa Ndege wa Forlì nchini Italia siku ya Ijumaa, hadi kuipindua moja ya ndege uwanjani hapo. Dhoruba hiyo ya ghafla ilisababisha upepo wenye kasi ya hadi km 120 kwa saa, na kusababisha shughuli za uwanja huo kusitishwa kwa muda. #bbcswahili #dhorubaitalia #upepomkali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw