Skip to main content
Skip to main content

Upinzani wasisitiza umoja katika azma ya kumng'oa Ruto

  • | Citizen TV
    611 views
    Viongozi wa upinzani wameshikilia kwamba umoja wa muungano huo ndio njia ya pekee ya kuitoa serikali ya Kenya Kwanza madarakani. Wakizungumza huko Saboti katika hafla ya kumkaribisha nyumbani kiongozi cha Chama cha PM, Caleb Amisi, viongozi hao wamesema kuwa watasalia kuwa pamoja na kumteua mmoja wao kumwondoa Rais William Ruto. Chrispine Otieno ana mengi zaidi.