- 219 viewsDuration: 1:43Huku tume ya uchaguzi na mipaka nchini ikiendeleza kampeni za kuhimiza wakenya kujisajili kuwa wapigakura, viongozi mbalimbali katika eneo la Mathioya kaunti ya Murang'a wameazisha kampeni ya kuhamasisha umma kujisajili kwa wingi.