- 2,370 viewsDuration: 3:41Usalama katika mpaka wa Kenya na Somalia ulipigwa jeki huku wakazi wa kijiji cha Kiunga katika Kaunti ya Lamu wakiahidi kujitolea kushirikiana na asasi za kiusalama ili kuboresha amani na utulivu katika eneo hilo. Hii ni kwa mujibu wa Brigedia William Kamoiro, anayesimamia Operesheni ya amani Boni, aliyesisitiza kwamba uhusiano imara kati ya asasi za kiusalama na jamii ya sehemu hiyo ndio uti wa mgongo wa usalama wa kudumu katika Kaunti ya Lamu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive