27 Oct 2025 10:12 am | Citizen TV 283 views Duration: 1:23 Jumla ya wanafunzi 31,585 wa Gredi za sita na tisa wanafanya mtihani wao wa KPSEA na KJSEA hii leo katika eneo la Kaskazini Mashariki kwenye vituo vyote 1,459.