Usambazaji wa dawa kwa kutumia 'Droni'

  • | BBC Swahili
    803 views
    Kwa miongo mingi zahanati ambazo zilikuwa mbali na mji wa Kisumu nchini Kenya zilikuwa na changamoto ya kupata madawa kwa wakati , wakati mwengine wagonjwa walilazimika kusafiri mbali kutafuta dawa. Lakini kwa ujio wa Ndege zisizona rubani yaani 'Droni' zahanati hizi zimepata wepesi wa kupata madawa kwa wakati. 🎥 Judith Wambare #bbcswahili #kenya #afya