- 59,882 viewsDuration: 25sRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuasa makamu mpya wa rais wa nchi hiyo Deogratius Ndejembi kutumikia taifa kwa utii na kuwa cheo ni dhamana. ameyasema hayo wakati wa hafla ya uapisho uliofanyika Ikulu ya chamwino huko Dodoma. - - #bbcswahili #siasa #RaisSamia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw