Utata waendelea kugubika familia zinazoishi katika ardhi ya Kirima huku wakitakiwa kuhama au kununua

  • | Citizen TV
    3,839 views

    Mzozo Wa Ardhi Ya Kirima Mkanganyiko Umeibuka Kuhusiana Na Uuzaji Wa Ardhi Baadhi Wadai Kuuziwa Ardhi Na Jamaa Tofauti Za Kirima Utata Umeendelea Kugubika Familia Zinazoishi Eneo Hili Wakaazi Watakiwa Kuhama Au Kununua Tena Ardhi Hizo