- 248 viewsDuration: 2:52Mgogoro mpya umeibuka ndani ya jamii ya Bahgeri ya ukoo mkubwa wa Ogaden ya Wasomali, kufuatia kutawazwa kwa Sultan mwingine wiki hii huko Wajir. Hatua hiyo imezua madai ya jamii kuingiliwa kisiasa kwani tayari kuna Sultan aliyetawazwa na wazee mwaka jana