Utekelezaji wa miradi ya maji katika Kaunti ya Makueni umekumbwa na changamoto za uharibifu wa miundombinu, ambapo serikali ya kaunti imeripoti kupoteza miradi ya maji ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni hamsini katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya