Skip to main content
Skip to main content

Uteuzi wa Gredi ya 10: Wanafunzi wapatwa na fursa ya kubadilisha shule na masomo

  • | Citizen TV
    448 views
    Duration: 3:10
    Wizara ya elimu imewataka wazazi kutokuwa na wasiwasi kuhusu uteuzi wa wanafunzi katika shule za sekondari ya juu ikisema kuwa wanafunzi watapewa fursa ya kubadilisha shule na masomo waliyochagua. Katibu katika wizara ya elimu profesa julius bitok, amesema kuwa maandalizi yote ya gredi ya kumi yamekamilika na walimu zaidi wanaendelea kupata mafunzo kuhusu mfumo wa cbe. Bitok amewataka wazazi kutafuta maelezo shuleni iwapo hawajaelewa mfumo mpya wa alama walizopata wana wao.