- 53,747 viewsDuration: 2:57Agosti 28, Bunge la Tanzania limemuidhinisha Dogratius Ndejembi kwa kura zote 324 zilizopigwa kuwa Makamu wa Rais mpya. Hatua hii imekuja baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, na baadaye Chama cha Mapinduzi (CCM) kumteua Deogratius Ndejembi, kuwa mrithi wake. Mwandishi wa habari wa BBC @sammyawami amezungumza na mwandishi wa habari mkongwe Saed Kubenea na mchambuzi wa masuala ya siasa ndugu Thomas Kibwana na kuwauliza je kwa uteuzi wa Ndejembi unaashiria Rais Samia anahitaji kufanya kazi na mtu wa aina gani? 🎥: @frankmavura #bbcswahili #siasa #CCM Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw