26 Mar 2026 1:33 pm | Citizen TV 150 views Duration: 1:30 Msitu wa Kilima cha Maranga katika Kaunti ya Embu unaendelea kurejea katika hali yake ya awali baada ya miaka mingi ya uharibifu, kutokana na juhudi endelevu za uhifadhi zinazoongozwa na jamii ya eneo hilo.