Skip to main content
Skip to main content

Uuzaji wa hisa za Safaricom wasitishwa kwa kukosekana kwa ushiriki wa umma

  • | KBC Video
    435 views
    Duration: 2:19
    Uuzaji wa hisa za Safaricom kwa Vodafone haukukidhi matakwa ya ushirikishwaji wa umma, jambo lililofanya mchakato huo kuwa kinyume cha sheria. Majaji wa Mahakama Kuu, Francis Gikonyo, Roselyne Aburili na Fridah Awiyo, wanasema kuwa shughuli hiyo haikuhusisha ushirikishwaji wa maana wa umma kama ilivyoainishwa katika Katiba. Jopo hilo la majaji watatu limeagiza kuwa hisa hizo kwa asilimia 15 zirudishwe kwa Hazina ya Taifa. Uuzaji huo ulifanyika mwezi Aprili mwaka huu na fedha zilizopatikana zilipelekwa kwenye hazina ya kitaifa ya Miundombinu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive