9 Jan 2026 1:19 pm | Citizen TV 787 views Duration: 3:19 Serikali imeingilia kati kurejesha utulivu na kuzuia hasara zaidi baada ya mvutano uliodumu kwa wiki moja kati ya wafugaji na wakulima katika eneo la Baringo Kusini.