- 4,092 viewsDuration: 1:34Serikali ya kitaifa imewahakikishia wakazi na wawekezaji katika eneo la Pwani kuwa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Malindi utaanza hivi karibuni, hatua inayotarajiwa kukuza biashara na utalii na kuimarisha uchumi wa eneo hilo.