- 14,248 viewsDuration: 3:02Uwanja mpya wa Talanta ambao bado unajengwa hapa jijini Nairobi utabadilishwa jina na kuitwa Uwanja wa Kimataifa wa Raila Amolo Odinga utakapokamilika mwezi Machi Mwaka Ujao. Rais William Ruto aliidhinisha uwanja huo kubadilishwa jina kama heshima kwa hayati Raila Odinga na mojawapo ya hatua za kutambua mchango wake katika kupigania haki za raia na demokrasia ya taifa.