- 293 viewsDuration: 2:03Vifaa vya kupigia kura vimesambazwa katika vituo 198 vya kupigia kura katika eneobunge la Malava kaunti ya Kakamega katika mikakati ya mwisho ya IEBC kuandaa uchaguzi mdogo. Msimamizi wa uchaguzi eneo bunge hilo Salim Abdalla Salim amewahakikishia wapiga kura kuwa uchaguzi utakuwa wa haki na huru