Skip to main content
Skip to main content

Vifo kadhaa vimeripotiwa kufuatia mzozo wa afya kaunti ya Kiambu

  • | KBC Video
    196 views
    Duration: 3:35
    Chama cha madaktari na wataalamu wa meno nchini (KMPDU) kimeondoa huduma muhimu na ya dharura iliyokuwa ikitolewa na wanachama wake katika hospitali za umma kaunti ya Kiambu, ili kuishinikiza serikali ya kaunti hiyo kushughulikia malalamishi yao miongoni mwayo, malimbikizi ya malipo ya mishahara yao kwa kipindi cha miezi saba. Chama hicho kimetishia kufanya maandamano ya amani katika kaunti hiyo mnamo Jumatano huku mgomo wa madaktari ukiingia siku yake ya 128. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive