- 225 viewsDuration: 2:40Watoto wanne wachanga hufariki kila baada ya saa moja humu nchini, hii ikiwa ni sawa na watoto 92 kila siku au watoto elfu 30 kila mwaka. Kwa mujibu wa wataalam wa afya ya watoto, vifo hivyo vinatokana na changamoto kadhaa zikiwemo ukosefu wa wahudumu wa kutosha wa watoto pamoja na ukosefu wa mitambo ya kuwashughulikia watoto wachanga