Skip to main content
Skip to main content

Vijana elfu-8 kutoka kaunti za Kisii, Nyamira na Migori wapokea mtaji kutoka mpango wa NYOTA

  • | KBC Video
    194 views
    Duration: 4:07
    Vijana 8,820 kutoka kaunti za Kisii, Nyamira na Migori wamenufaika kwa mitaji ya kuendeleza biashara zao kupitia mpango wa uwezeshaji, NYOTA, unaonuiwa kubuni na kupanua ajira miongoni mwa vijana. Kila mjasiriamali alipokea shilingi elfu 22, ambapo jumla ya shilingi milioni 220.5 zilitumika. Vijana hao walikamilisha mafunzo ya lazima ya siku nne kuhusu ujuzi wa kibiashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive