Vijana mjini Kitale wadaiwa kutumia dawa za kulevya kutokana na ukosefu wa ajira na hali maisha

  • | NTV Video
    49 views

    Vijana katika mitaa ya tuwan na matisi mjini Kitale wamedaiwa kujiingiza kwa matumizi ya dawa za kulevya kutokana na ukosefu wa ajira na hali ngumu ya maisha. Mbunge wa Saboti Caleb Hamisi amewalaumu viongozi wanaochaguliwa kwa kuwatelekeza na kuwatumia vibaya vijana wakati wa kampeni za uchaguzi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya