Skip to main content
Skip to main content

Vijana Nairobi wawalaani wanasiasa wanaomhusisha Raymond Omollo na madai ya wahuni

  • | NTV Video
    251 views
    Duration: 1:52
    Baadhi ya vijana mjini Nairobi wamejitokeza na kulaani vikali baadhi ya wanasiasa wanaomhusisha Katibu wa Usalama wa Ndani, Raymond Omollo, na madai ya wahuni waliowashambulia Seneta wa Vihiga, Godfrey Osotsi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya