Vijana wa Sirende waandamana kwa ukosefu wa ajira

  • | Citizen TV
    587 views

    Vijana Katika Wadi Ya Sirende Kaunti Ya Trans Nzoia Wameandamana Hadi Ofisi Ya Mwakilishi Wadi Kulalamikia Ukosefu Wa Ajira Na Miundo Msingi Duni.