Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa upinzani wazindua kampeni ya kumteua mgombea mmoja wa urais

  • | Citizen TV
    393 views
    Duration: 1:14
    Baadhi ya vijana wanaounga mkono upinzani wametoa wito kwa viongozi wanaowania urais katika uchaguzi mkuu ujao kuharakisha mazungumzo na kumteua mgombea mmoja wa kumenyana na William Ruto