Skip to main content
Skip to main content

Vijana wahamasishwa dhidi ya kutumia dawa za kulevya

  • | Citizen TV
    427 views
    Duration: 1:50
    Mamlaka ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) imetoa wito kwa viongozi wa kidini na wazazi kote nchini kushirikiana kikamilifu katika juhudi za kukabiliana na matumizi ya vileo hasa miongoni mwa vijana.