- 39 viewsDuration: 2:32Serikali za kaunti na ile ya kitaifa zimetakiwa kuchukua hatua kukabili tatizo la matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana hasa katika eneo bunge la Kabete kaunti ya Kiambu. Wito huu ulitolewa wakati wa mashindano ya mchezo wa mishale yaliyofadhiliwa na mwanasiasa James Wanjohi, huku wenyeji wa eneo hilo wakisema kuwa iwapo suala hilo halitashughulikiwa haraka iwezekanavyo vijana wengi wataangamia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive