Vijana watatu wafadhiliwa na wanajeshi wa KDF wanaoendeleza oparesheni ndani ya msitu wa Boni

  • | Citizen TV
    2,808 views

    Vijana watatu waliopata alama zaidi ya 350 kutoka familia maskini katika kaunti ya Lamu wamepata ufadhili wa masomo kutoka kwa wanajeshi wa KDF wanaoendeleza oparesheni ndani ya msitu wa Boni dhidi ya magaidi wa Alshabab eneo hilo.