Skip to main content
Skip to main content

Vijana wazidi kushauriwa kujitokeza kwa wingi kuchukua kura

  • | Citizen TV
    290 views
    Duration: 1:10
    Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Nyamira wamewashauri vijana kujitokeza kwa wingi na kujisajili kuwa wapigakura kwenye zoezi linaloendelea kote nchini. Wakizungumza kule Nyamira baada ya kuzuru vituo mbalimbali vya usajili katika kaunti hiyo, viongozi hao wamewashauri vijana kuwa kadi ya kura ndiyo silaha mwafaka ya kuwatimua mamlakani viongozi waliozembea kazini na kuchagua viongozi wapya.