19 Nov 2025 1:41 pm | Citizen TV 77 views Vijana Zaidi ya 100 kutoka katika kaunti ya Lamu na kaunti ya TanaRiver wamepokea vifaa vya kiufundi ikiwemo vya kushona nguo, kutengeza simu na hata kutengeneza pikipiki vitakavyowasaidia kujiendeleza kimaisha.