Skip to main content
Skip to main content

Vijana zaidi ya 1,000 wahamasishwa dhidi ya dawa za kulevya Nandi

  • | Citizen TV
    242 views
    Duration: 1:51
    Vijana zaidi ya 1,000 kutoka kaunti ndogo za Nandi wamehamasishwa kuhusu madhara ya matumizi ya pombe na dawa za kulevya, katika kampeni ya mwezi mzima inayoongozwa na Mamlaka ya Kudhibiti Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA).