Vikundi 16 vya wajane vyapokea msaada Migori

  • | Citizen TV
    92 views

    Vikundi 16 vya wajane katika kaunti ya Migori vimepokea shilingi milioni 4 Kutoka Kwa wakfu wa mkewe Naibu wa rais Dorcas Gachagua kama njia ya kuinua mapato Yao kupitia ufugaji wa samaki.